sw_tn/luk/09/20.md

37 lines
947 B
Markdown

# Akawaambia
"yesu akawaambia wanafunzi wake"
# kujibu, Petro akasema
"Petro alijibu na kusema" au "Petro alijibu kwa kusema"
# Lakini kwa kuwaonya, Yesu akawaelekeza
AT: "Lakini yesu waliwaonya na kuwaelekeza" au '"Ndipo yesu waliwapa onyo kali"
# kutomwambia yoyote
"kutokumwambia mtu yoyote" au " wasimwambie mtu yoyote." Hii inaashiria msemo. AT: "lakini kuwaaonya, yesu aliwaambia,
"msimwambie mtu yoyote"
# kwamba mwana wa Adamu atateseka kwa vingi
AT: "kwamba watu wanweza msababishia mwana wa Adamu kuteseka sana." Hii pia inaweza kutafasiriwa kama msemo wa moja kwa moja kwa sababu ipo kwenye UBS.
# na kukataliwa na wazee na wakuu wa Makuhani na waandishi
AT: "na wazee, wakuu wa makuhani, na waandishi watamkataa"
# na atauliwa
AT: " na watu watamuua"
# kwenye siku ya tatu
"siku tatu baada ya kufa" au "kwenye siku ya taut baada ya kifo chake"
# atafufuka
"atawekwa hai." AT: "Mungu atamfanya hai tena" au "atafufuka"