sw_tn/luk/09/20.md

947 B

Akawaambia

"yesu akawaambia wanafunzi wake"

kujibu, Petro akasema

"Petro alijibu na kusema" au "Petro alijibu kwa kusema"

Lakini kwa kuwaonya, Yesu akawaelekeza

AT: "Lakini yesu waliwaonya na kuwaelekeza" au '"Ndipo yesu waliwapa onyo kali"

kutomwambia yoyote

"kutokumwambia mtu yoyote" au " wasimwambie mtu yoyote." Hii inaashiria msemo. AT: "lakini kuwaaonya, yesu aliwaambia, "msimwambie mtu yoyote"

kwamba mwana wa Adamu atateseka kwa vingi

AT: "kwamba watu wanweza msababishia mwana wa Adamu kuteseka sana." Hii pia inaweza kutafasiriwa kama msemo wa moja kwa moja kwa sababu ipo kwenye UBS.

na kukataliwa na wazee na wakuu wa Makuhani na waandishi

AT: "na wazee, wakuu wa makuhani, na waandishi watamkataa"

na atauliwa

AT: " na watu watamuua"

kwenye siku ya tatu

"siku tatu baada ya kufa" au "kwenye siku ya taut baada ya kifo chake"

atafufuka

"atawekwa hai." AT: "Mungu atamfanya hai tena" au "atafufuka"