AT: "kwamba watu wanweza msababishia mwana wa Adamu kuteseka sana." Hii pia inaweza kutafasiriwa kama msemo wa moja kwa moja kwa sababu ipo kwenye UBS.
# na kukataliwa na wazee na wakuu wa Makuhani na waandishi
AT: "na wazee, wakuu wa makuhani, na waandishi watamkataa"
# na atauliwa
AT: " na watu watamuua"
# kwenye siku ya tatu
"siku tatu baada ya kufa" au "kwenye siku ya taut baada ya kifo chake"
# atafufuka
"atawekwa hai." AT: "Mungu atamfanya hai tena" au "atafufuka"