# Akawaambia "yesu akawaambia wanafunzi wake" # kujibu, Petro akasema "Petro alijibu na kusema" au "Petro alijibu kwa kusema" # Lakini kwa kuwaonya, Yesu akawaelekeza AT: "Lakini yesu waliwaonya na kuwaelekeza" au '"Ndipo yesu waliwapa onyo kali" # kutomwambia yoyote "kutokumwambia mtu yoyote" au " wasimwambie mtu yoyote." Hii inaashiria msemo. AT: "lakini kuwaaonya, yesu aliwaambia, "msimwambie mtu yoyote" # kwamba mwana wa Adamu atateseka kwa vingi AT: "kwamba watu wanweza msababishia mwana wa Adamu kuteseka sana." Hii pia inaweza kutafasiriwa kama msemo wa moja kwa moja kwa sababu ipo kwenye UBS. # na kukataliwa na wazee na wakuu wa Makuhani na waandishi AT: "na wazee, wakuu wa makuhani, na waandishi watamkataa" # na atauliwa AT: " na watu watamuua" # kwenye siku ya tatu "siku tatu baada ya kufa" au "kwenye siku ya taut baada ya kifo chake" # atafufuka "atawekwa hai." AT: "Mungu atamfanya hai tena" au "atafufuka"