sw_tn/luk/09/18.md

628 B

Sentesi kiunganishi:

Yesu akisali, pekee yake na wanfunzi wake, na kuanza kuongelea kuhusu yesu ni nani. Yesu anawaambia kuhus kifo chake na ufufuo utakao fata na kuwataka wamfate yeye hata iweje.

Nayo ikawa kwamba

Hii sentensi inaashiria mwanzo wa tukio jipya.

alipokuwa akiomba

"yesu alipokuwa akiomba"

kusali pekee

Wanfunzi walikuwa na yesu, lakini alikuwa anasali pekee yake na yeye mwenyewe kwa siri.

kujibu, wakasema

"walimjibu wakisema"

Yohana mbatizaji

AT: "wengine wanasema wewe ni Yohana mbatizaji"

kutoka nyakati za zamani

"ambae aliishi muda mrefu uliopita"

amefufuka tena

"alifufuka"