# Sentesi kiunganishi: Yesu akisali, pekee yake na wanfunzi wake, na kuanza kuongelea kuhusu yesu ni nani. Yesu anawaambia kuhus kifo chake na ufufuo utakao fata na kuwataka wamfate yeye hata iweje. # Nayo ikawa kwamba Hii sentensi inaashiria mwanzo wa tukio jipya. # alipokuwa akiomba "yesu alipokuwa akiomba" # kusali pekee Wanfunzi walikuwa na yesu, lakini alikuwa anasali pekee yake na yeye mwenyewe kwa siri. # kujibu, wakasema "walimjibu wakisema" # Yohana mbatizaji AT: "wengine wanasema wewe ni Yohana mbatizaji" # kutoka nyakati za zamani "ambae aliishi muda mrefu uliopita" # amefufuka tena "alifufuka"