sw_tn/luk/09/18.md

32 lines
628 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentesi kiunganishi:
Yesu akisali, pekee yake na wanfunzi wake, na kuanza kuongelea kuhusu yesu ni nani. Yesu anawaambia kuhus kifo chake na ufufuo utakao fata na kuwataka wamfate yeye hata iweje.
# Nayo ikawa kwamba
Hii sentensi inaashiria mwanzo wa tukio jipya.
# alipokuwa akiomba
"yesu alipokuwa akiomba"
# kusali pekee
Wanfunzi walikuwa na yesu, lakini alikuwa anasali pekee yake na yeye mwenyewe kwa siri.
# kujibu, wakasema
"walimjibu wakisema"
# Yohana mbatizaji
AT: "wengine wanasema wewe ni Yohana mbatizaji"
# kutoka nyakati za zamani
"ambae aliishi muda mrefu uliopita"
# amefufuka tena
"alifufuka"