sw_tn/luk/09/10.md

626 B

Sentensi unganishi

Ingawa wafuasi walirudi kwea yesu na wakaenda Bethadia kupumzika, makutano walimfata yesu awaponye na kusikiliza mafundisho yake. Aliwasaidia kugawanyisha mkate na samaki wakati wanarudi nyumbani.

wale waliotiumwa

AT: " wale mitume kumi na mbili aliowatuma yesu"

walirudi

"walirudi pale alipokuwa yesu"

wakamuambia

"mitume wakamuambia yesu"

kila kitu walichofanya

Hii ina wakilisha mafundisho na uponyaji waliofanya walipoenda kwenye miji.

aliwachukua , aliondoka mwenyewe

Yesu na mitume wake waliondoka wenyewe. AT: "aliwachukua wakaondoka pamoja"

Bethadia

Hili ni jina la mji.