# Sentensi unganishi Ingawa wafuasi walirudi kwea yesu na wakaenda Bethadia kupumzika, makutano walimfata yesu awaponye na kusikiliza mafundisho yake. Aliwasaidia kugawanyisha mkate na samaki wakati wanarudi nyumbani. # wale waliotiumwa AT: " wale mitume kumi na mbili aliowatuma yesu" # walirudi "walirudi pale alipokuwa yesu" # wakamuambia "mitume wakamuambia yesu" # kila kitu walichofanya Hii ina wakilisha mafundisho na uponyaji waliofanya walipoenda kwenye miji. # aliwachukua , aliondoka mwenyewe Yesu na mitume wake waliondoka wenyewe. AT: "aliwachukua wakaondoka pamoja" # Bethadia Hili ni jina la mji.