sw_tn/luk/08/11.md

839 B

Ujumbe wa kuunganisha:

Yesu anaaza kuelezea maana ya mfano wa udongo kwa wanafunzi wake.

mwovu shetani hulichukua neno mbali kutoka moyoni

Hii inamaanisha kuwa anawafanya kusahau neno la Mungu ambalo wamelisikia.

hulichukua mbali

Kwenye mfano hii ilikuwa kama fumbo la ndege anayedaka mbegu. jaribu kutumia maneno kwa lugha yako ambayo hutunza picha hii.

kutoka moyoni mwao

Hii ina maana kuwa shetani hukichukua neno mbali mbali na hamu zao za kuliamini neno la Mungu.

ili kwamba wasiamini na kuokolewa

Tangu mwanzo hili lilikuwa kusudi la mwovu, inaweza kutafsiriwa kama. "Kwa sababu mwovu amezama, 'Hawataamini na hawataokolewa"' au "'Hawataweza kuamini kwa matokeo ambayo Mungu atawaokoa."

wakati wa majaribu huanguka

"Wakikutana na magumu wanaanguka mbali na Imani" au "Wanapokutana na magumu wanaacha kuamini"