sw_tn/luk/08/11.md

24 lines
839 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ujumbe wa kuunganisha:
Yesu anaaza kuelezea maana ya mfano wa udongo kwa wanafunzi wake.
# mwovu shetani hulichukua neno mbali kutoka moyoni
Hii inamaanisha kuwa anawafanya kusahau neno la Mungu ambalo wamelisikia.
# hulichukua mbali
Kwenye mfano hii ilikuwa kama fumbo la ndege anayedaka mbegu. jaribu kutumia maneno kwa lugha yako ambayo hutunza picha hii.
# kutoka moyoni mwao
Hii ina maana kuwa shetani hukichukua neno mbali mbali na hamu zao za kuliamini neno la Mungu.
# ili kwamba wasiamini na kuokolewa
Tangu mwanzo hili lilikuwa kusudi la mwovu, inaweza kutafsiriwa kama. "Kwa sababu mwovu amezama, 'Hawataamini na hawataokolewa"' au "'Hawataweza kuamini kwa matokeo ambayo Mungu atawaokoa."
# wakati wa majaribu huanguka
"Wakikutana na magumu wanaanguka mbali na Imani" au "Wanapokutana na magumu wanaacha kuamini"