# Ujumbe wa kuunganisha: Yesu anaaza kuelezea maana ya mfano wa udongo kwa wanafunzi wake. # mwovu shetani hulichukua neno mbali kutoka moyoni Hii inamaanisha kuwa anawafanya kusahau neno la Mungu ambalo wamelisikia. # hulichukua mbali Kwenye mfano hii ilikuwa kama fumbo la ndege anayedaka mbegu. jaribu kutumia maneno kwa lugha yako ambayo hutunza picha hii. # kutoka moyoni mwao Hii ina maana kuwa shetani hukichukua neno mbali mbali na hamu zao za kuliamini neno la Mungu. # ili kwamba wasiamini na kuokolewa Tangu mwanzo hili lilikuwa kusudi la mwovu, inaweza kutafsiriwa kama. "Kwa sababu mwovu amezama, 'Hawataamini na hawataokolewa"' au "'Hawataweza kuamini kwa matokeo ambayo Mungu atawaokoa." # wakati wa majaribu huanguka "Wakikutana na magumu wanaanguka mbali na Imani" au "Wanapokutana na magumu wanaacha kuamini"