sw_tn/luk/08/01.md

561 B

Taarifa ya jumla:

mistari hii inatoa mrejesho wa habari za Yesu kuhusu kuhubiri wakati anasafiri.

Ilitokea

Hiki kipande cha maneno kimetumika hapa kuweka alama ya sehemu ya habari mpya.

waliokuwa wameponywa na roho wachafu na magonjwa mbalimbali

"Ambao Yesu amewaweka huru kutokana na roho chafu na kuwaponya na magonjwa"

Mary... na wanawake wengi.

"Wanawake watatu waliokuwa wanaitwa: Mariam, Yoana, na Susana.

Yoana, mke Kuza, Meneja wa Herode.

Yoana alikuwa mke wa Kuza, na Kuza alikuja meneja wa Herode. "Yoana, Mke wa meneja wa Herode."