sw_tn/luk/08/01.md

20 lines
561 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla:
mistari hii inatoa mrejesho wa habari za Yesu kuhusu kuhubiri wakati anasafiri.
# Ilitokea
Hiki kipande cha maneno kimetumika hapa kuweka alama ya sehemu ya habari mpya.
# waliokuwa wameponywa na roho wachafu na magonjwa mbalimbali
"Ambao Yesu amewaweka huru kutokana na roho chafu na kuwaponya na magonjwa"
# Mary... na wanawake wengi.
"Wanawake watatu waliokuwa wanaitwa: Mariam, Yoana, na Susana.
# Yoana, mke Kuza, Meneja wa Herode.
Yoana alikuwa mke wa Kuza, na Kuza alikuja meneja wa Herode. "Yoana, Mke wa meneja wa Herode."