# Taarifa ya jumla: mistari hii inatoa mrejesho wa habari za Yesu kuhusu kuhubiri wakati anasafiri. # Ilitokea Hiki kipande cha maneno kimetumika hapa kuweka alama ya sehemu ya habari mpya. # waliokuwa wameponywa na roho wachafu na magonjwa mbalimbali "Ambao Yesu amewaweka huru kutokana na roho chafu na kuwaponya na magonjwa" # Mary... na wanawake wengi. "Wanawake watatu waliokuwa wanaitwa: Mariam, Yoana, na Susana. # Yoana, mke Kuza, Meneja wa Herode. Yoana alikuwa mke wa Kuza, na Kuza alikuja meneja wa Herode. "Yoana, Mke wa meneja wa Herode."