sw_tn/luk/07/31.md

707 B

Taarifa Unganishi:

Yesu aliendelea kusema kwa watu Kuhusu Yohana mbatizaji.

Tena, naweza kuwalinganisha na nini ... wanafanana?

Yesu alitumia maswali kutambulisha mlinganisho.Yawaeza kuandikwa kama sentensi. NI: "Hivi ndivyo nitawafananisha kizazi hiki., na ndivyo wanavyofanana.

Watu wa kizazi hiki

Watu wanalioishi wakati wa Yesu anasema

Wanafanana

Haya maneno ni mwanzo wa kulinganisha kwa Yesu. Yesu anasema kwamba watu wa kizazi hiki wanafanana na watoto ambao hawaridhiki na njia mbazo watoto wengine wanafanya

Eneo la soko

Kubwa, eneo la wazi ambapo watu huja kuuza bidhaa zao.

na hamkucheza

"Lakini hamkucheza kwenye mziki"

Na hamkuomboleza

"Lakini hamkuomboleza na sisi"