sw_tn/luk/07/31.md

28 lines
707 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa Unganishi:
Yesu aliendelea kusema kwa watu Kuhusu Yohana mbatizaji.
# Tena, naweza kuwalinganisha na nini ... wanafanana?
Yesu alitumia maswali kutambulisha mlinganisho.Yawaeza kuandikwa kama sentensi. NI: "Hivi ndivyo nitawafananisha kizazi hiki., na ndivyo wanavyofanana.
# Watu wa kizazi hiki
Watu wanalioishi wakati wa Yesu anasema
# Wanafanana
Haya maneno ni mwanzo wa kulinganisha kwa Yesu. Yesu anasema kwamba watu wa kizazi hiki wanafanana na watoto ambao hawaridhiki na njia mbazo watoto wengine wanafanya
# Eneo la soko
Kubwa, eneo la wazi ambapo watu huja kuuza bidhaa zao.
# na hamkucheza
"Lakini hamkucheza kwenye mziki"
# Na hamkuomboleza
"Lakini hamkuomboleza na sisi"