# Taarifa Unganishi: Yesu aliendelea kusema kwa watu Kuhusu Yohana mbatizaji. # Tena, naweza kuwalinganisha na nini ... wanafanana? Yesu alitumia maswali kutambulisha mlinganisho.Yawaeza kuandikwa kama sentensi. NI: "Hivi ndivyo nitawafananisha kizazi hiki., na ndivyo wanavyofanana. # Watu wa kizazi hiki Watu wanalioishi wakati wa Yesu anasema # Wanafanana Haya maneno ni mwanzo wa kulinganisha kwa Yesu. Yesu anasema kwamba watu wa kizazi hiki wanafanana na watoto ambao hawaridhiki na njia mbazo watoto wengine wanafanya # Eneo la soko Kubwa, eneo la wazi ambapo watu huja kuuza bidhaa zao. # na hamkucheza "Lakini hamkucheza kwenye mziki" # Na hamkuomboleza "Lakini hamkuomboleza na sisi"