sw_tn/luk/06/45.md

893 B

Taarifa kwa Ujumla:

Yesu analinganisha mawazo ya mtu kwa hazina nzura au mbaya. Mawazo mazuri ya mtu mzuri yanasababisha matendo mazuri. Mawazo maovu ya mtu mwovu husababisha matendo mabaya.

Mtu mwema

Neno "mwema" hapa linahusu mwenye haki au maadili mema.

mtu mwema

Neno "mtu" linarejea kwa mtu, mwanaume au mwanamke. NI: "mtu mwema"

Hazina njema ya moyo wake

"vitu vizuri hutunza moyoni mwake" au "vitu vizuri huvithamini"

huzaa kilicho kizuri

Kutoa kilicho kizuri ni sitiari kwa kufanya mema. NI: "kufanya kilicho kizuri"

hazina mbaya ya moyo wake

"mambo mabaya anayotunza moyoni mwake" au "mambo mabaya anayothamini"

katika utajiri wa moyo wake mdomo huzungumza

Kirai "kinywa chake" kinawakilisha yeye kutumian mkinywa chake. NI: "anachofikiri moyoni mwake kinaathiri anachosema kwa mdomo wake" au anachokithamini moyoni mwake huamua kinachosemwa na kinywa.