sw_tn/luk/06/38.md

738 B

Nanyi mtapewa

Yesu hakusema kwa hakika ambaye angetoa. Inawezekana inaanisha 1) "yeyote atakupa wewe 2) "Mungu atakupa wewe?

kiasi cha ukarimu ....magotini penu

Amri ya sentensi hii inaweza kurudiwa. NI: "kitamwagwa magotini penu kiasi cha ukarimu kilichosindiliwa na kumwagika. "Yesu alitumia mfano wa mfanya biashara wa nafaka kupata kiasi cha ukarimu. NI: "Ni kama mfayabiashara wa nafaka ambaye hushindilia nafaka na kuzitikisa pamoja na hutoka nafaka nyingi ambazo humwagika, watakupatia wewe kwa ukarimu.

Kiasi cha ukarimu

"kiasi kingi"

Itapimwa hivyo hivyo kwako

Yesu hakusema kwa hakika nani atapima. Maana zinazowezekana 1)"watatumia kipimo hicho hicho kupima vitu vyako" au 2) Mungu atakupimia pia vitu wewe