# Nanyi mtapewa Yesu hakusema kwa hakika ambaye angetoa. Inawezekana inaanisha 1) "yeyote atakupa wewe 2) "Mungu atakupa wewe? # kiasi cha ukarimu ....magotini penu Amri ya sentensi hii inaweza kurudiwa. NI: "kitamwagwa magotini penu kiasi cha ukarimu kilichosindiliwa na kumwagika. "Yesu alitumia mfano wa mfanya biashara wa nafaka kupata kiasi cha ukarimu. NI: "Ni kama mfayabiashara wa nafaka ambaye hushindilia nafaka na kuzitikisa pamoja na hutoka nafaka nyingi ambazo humwagika, watakupatia wewe kwa ukarimu. # Kiasi cha ukarimu "kiasi kingi" # Itapimwa hivyo hivyo kwako Yesu hakusema kwa hakika nani atapima. Maana zinazowezekana 1)"watatumia kipimo hicho hicho kupima vitu vyako" au 2) Mungu atakupimia pia vitu wewe