sw_tn/luk/06/38.md

16 lines
738 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nanyi mtapewa
Yesu hakusema kwa hakika ambaye angetoa. Inawezekana inaanisha 1) "yeyote atakupa wewe 2) "Mungu atakupa wewe?
# kiasi cha ukarimu ....magotini penu
Amri ya sentensi hii inaweza kurudiwa. NI: "kitamwagwa magotini penu kiasi cha ukarimu kilichosindiliwa na kumwagika. "Yesu alitumia mfano wa mfanya biashara wa nafaka kupata kiasi cha ukarimu. NI: "Ni kama mfayabiashara wa nafaka ambaye hushindilia nafaka na kuzitikisa pamoja na hutoka nafaka nyingi ambazo humwagika, watakupatia wewe kwa ukarimu.
# Kiasi cha ukarimu
"kiasi kingi"
# Itapimwa hivyo hivyo kwako
Yesu hakusema kwa hakika nani atapima. Maana zinazowezekana 1)"watatumia kipimo hicho hicho kupima vitu vyako" au 2) Mungu atakupimia pia vitu wewe