sw_tn/luk/06/14.md

690 B

majina ya mitume yalikuwa

Hizi ni taarifa zimeongezwa kwenye mstari wa ULB

ndugu yake Andrea

"kaka yake Simoni, Andrea"

Zelote

inawezekana maana 1) "Zelote" ni cheo kinacho onesha alikuwa sehemu ya kundi la watu waliotaka kuwaacha huru Wayahudi kutoka utawala wa Rumi NI: "mzalendo" au "mtaifa" au 2) "mwenye bidii" ni maelezo yanayoashiria alikuwa na bidii kwaajili ya Mungu kuheshimiwa. NI: "shauku"

kuwa msaliti

Inaweza kuwa lazima kueleza nini maana ya "msaliti" katika mkutadha huu. NI: "aliwasaliti rafiki zake" au "aliwageuka rafiki zake mbele ya maadui" (kawaida kwa kurudisha fedha alizolipwa" au "kumweka rafiki katika hatari kwa kuwaambia maadui kuhusu yeye"