# majina ya mitume yalikuwa Hizi ni taarifa zimeongezwa kwenye mstari wa ULB # ndugu yake Andrea "kaka yake Simoni, Andrea" # Zelote inawezekana maana 1) "Zelote" ni cheo kinacho onesha alikuwa sehemu ya kundi la watu waliotaka kuwaacha huru Wayahudi kutoka utawala wa Rumi NI: "mzalendo" au "mtaifa" au 2) "mwenye bidii" ni maelezo yanayoashiria alikuwa na bidii kwaajili ya Mungu kuheshimiwa. NI: "shauku" # kuwa msaliti Inaweza kuwa lazima kueleza nini maana ya "msaliti" katika mkutadha huu. NI: "aliwasaliti rafiki zake" au "aliwageuka rafiki zake mbele ya maadui" (kawaida kwa kurudisha fedha alizolipwa" au "kumweka rafiki katika hatari kwa kuwaambia maadui kuhusu yeye"