sw_tn/luk/04/intro.md

579 B

Luka 04 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka mbele kidogo nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 4:10-11, 18-19, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Yesu alijaribiwa na shetani

Ingawa ni kweli kwamba shetani aliamini kwa hakika kwamba angeweza kumshawishi Yesu kumtii, ni muhimu kuonyesha kama Yesu hakutaka kumtii hata kidogo.

<< | >>