sw_tn/luk/04/01.md

679 B

Sentensi Unganishi

Ibilisi amkuta Yesu aweze kumjaribu akose baada ya Yesu kufunga kwa siku arobaini 40.

Ndipo Yesu

Hii inarejea baada ya Yohana kumbatiza Yesu. NI: "Baada ya Yesu kuwa kabatizwa"

akaongozwa na Roho

Hii inaweza katika mfumo wa kutenda. NI: "Roho alimwongoza"

Kwa siku arobaini yeye alijaribiwa

Tafsiri nyingi zinasema kwamba majaribu yalikuwa kwa siku zote arobaini. UDB inasema "Wakati akiwa pale, Ibilisi aliendelea kumjaribu" kuweka hili wazi.

siku arobaini

"siku 40"

alikuwa akijaribiwa na shetani

Hii inaweza kusemwa katika mfumo wa kutenda. NI: "ibilisi alimjaribu asimtii Mungu"

Hakuna alichokula

Neno "yeye" linarejea kwa Yesu.