# Sentensi Unganishi Ibilisi amkuta Yesu aweze kumjaribu akose baada ya Yesu kufunga kwa siku arobaini 40. # Ndipo Yesu Hii inarejea baada ya Yohana kumbatiza Yesu. NI: "Baada ya Yesu kuwa kabatizwa" # akaongozwa na Roho Hii inaweza katika mfumo wa kutenda. NI: "Roho alimwongoza" # Kwa siku arobaini yeye alijaribiwa Tafsiri nyingi zinasema kwamba majaribu yalikuwa kwa siku zote arobaini. UDB inasema "Wakati akiwa pale, Ibilisi aliendelea kumjaribu" kuweka hili wazi. # siku arobaini "siku 40" # alikuwa akijaribiwa na shetani Hii inaweza kusemwa katika mfumo wa kutenda. NI: "ibilisi alimjaribu asimtii Mungu" # Hakuna alichokula Neno "yeye" linarejea kwa Yesu.