sw_tn/luk/04/01.md

28 lines
679 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ibilisi amkuta Yesu aweze kumjaribu akose baada ya Yesu kufunga kwa siku arobaini 40.
# Ndipo Yesu
Hii inarejea baada ya Yohana kumbatiza Yesu. NI: "Baada ya Yesu kuwa kabatizwa"
# akaongozwa na Roho
Hii inaweza katika mfumo wa kutenda. NI: "Roho alimwongoza"
# Kwa siku arobaini yeye alijaribiwa
Tafsiri nyingi zinasema kwamba majaribu yalikuwa kwa siku zote arobaini. UDB inasema "Wakati akiwa pale, Ibilisi aliendelea kumjaribu" kuweka hili wazi.
# siku arobaini
"siku 40"
# alikuwa akijaribiwa na shetani
Hii inaweza kusemwa katika mfumo wa kutenda. NI: "ibilisi alimjaribu asimtii Mungu"
# Hakuna alichokula
Neno "yeye" linarejea kwa Yesu.