sw_tn/luk/02/39.md

20 lines
581 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Mariamu, Yusufu na Yesu waliondoka Bethlehemu na kurudi kwenye mji wa Nazarethi kwaajili ya utoto wake.
# wao walitakiwa kufanya kutokana na sheria ya Bwana
Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "kwamba sheria ya Bwana iliwataka kufanya."
# mji wa kwao, Nazarethi
Kauli hii inamaana waliishi Nazarethi. Hakikisha haieleweki kama mji ulio milikiwa.
# kuongezeka katika hekima
"kuwa na hekima zaidi" au "alijifunza ambayo yalikuwa ya hekima"
# neema ya Mungu ilikuwa juu yake
"Mungu alimbariki" au "Mungu alikuwa pamoja naye kwa namna pekee"