# Kauli Unganishi: Mariamu, Yusufu na Yesu waliondoka Bethlehemu na kurudi kwenye mji wa Nazarethi kwaajili ya utoto wake. # wao walitakiwa kufanya kutokana na sheria ya Bwana Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "kwamba sheria ya Bwana iliwataka kufanya." # mji wa kwao, Nazarethi Kauli hii inamaana waliishi Nazarethi. Hakikisha haieleweki kama mji ulio milikiwa. # kuongezeka katika hekima "kuwa na hekima zaidi" au "alijifunza ambayo yalikuwa ya hekima" # neema ya Mungu ilikuwa juu yake "Mungu alimbariki" au "Mungu alikuwa pamoja naye kwa namna pekee"