sw_tn/luk/02/39.md

581 B

Kauli Unganishi:

Mariamu, Yusufu na Yesu waliondoka Bethlehemu na kurudi kwenye mji wa Nazarethi kwaajili ya utoto wake.

wao walitakiwa kufanya kutokana na sheria ya Bwana

Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "kwamba sheria ya Bwana iliwataka kufanya."

mji wa kwao, Nazarethi

Kauli hii inamaana waliishi Nazarethi. Hakikisha haieleweki kama mji ulio milikiwa.

kuongezeka katika hekima

"kuwa na hekima zaidi" au "alijifunza ambayo yalikuwa ya hekima"

neema ya Mungu ilikuwa juu yake

"Mungu alimbariki" au "Mungu alikuwa pamoja naye kwa namna pekee"