forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
888 B
Markdown
36 lines
888 B
Markdown
# Nabii mke jina lake Ana pia alikuwa pale
|
|
|
|
Hii inatambulisha mhusika mpya katika simulizi.
|
|
|
|
# Fanueli
|
|
|
|
"Fanueli" ni jina la mwanaume.
|
|
|
|
# miaka saba
|
|
|
|
"miaka 7 "
|
|
|
|
# baada ubikra wake
|
|
|
|
"baada ya kuolewa naye"
|
|
|
|
# mjane kwa miaka themanini na minne
|
|
|
|
miaka minne - Maana zinazowezekana 1) kawa mjane kwa miaka 84 au 2) alikuwa mjane na alikuwa na umri wa miaka 84.
|
|
|
|
# hakuondoka hekaluni
|
|
|
|
Hii huenda ni maana iliyokuzwa kwamba alitumia muda mwingi katika hekalu hii ilionekana kama kwamba hakuondoka pale. NI: "kila mara alikuwa hekaluni" au "daima alikuwa hekaluni."
|
|
|
|
# akifunga na kuomba
|
|
|
|
"kujinyima chakula na maombi"
|
|
|
|
# akawajia karibu yao
|
|
|
|
"kuwafuata" au "alikwenda kwa Mariamu na Yusufu"
|
|
|
|
# wokovu wa Yerusalemu
|
|
|
|
Hapa neno "wokovu" lilitumika kurejea kwa mtu ambaye angetenda. NI: yule ambaye angeokoa Yerusalemu" au "mtu ambaye angeleta baraka za Mungu na fadhila tena kwa Yerusalemu."
|