sw_tn/luk/02/36.md

888 B

Nabii mke jina lake Ana pia alikuwa pale

Hii inatambulisha mhusika mpya katika simulizi.

Fanueli

"Fanueli" ni jina la mwanaume.

miaka saba

"miaka 7 "

baada ubikra wake

"baada ya kuolewa naye"

mjane kwa miaka themanini na minne

miaka minne - Maana zinazowezekana 1) kawa mjane kwa miaka 84 au 2) alikuwa mjane na alikuwa na umri wa miaka 84.

hakuondoka hekaluni

Hii huenda ni maana iliyokuzwa kwamba alitumia muda mwingi katika hekalu hii ilionekana kama kwamba hakuondoka pale. NI: "kila mara alikuwa hekaluni" au "daima alikuwa hekaluni."

akifunga na kuomba

"kujinyima chakula na maombi"

akawajia karibu yao

"kuwafuata" au "alikwenda kwa Mariamu na Yusufu"

wokovu wa Yerusalemu

Hapa neno "wokovu" lilitumika kurejea kwa mtu ambaye angetenda. NI: yule ambaye angeokoa Yerusalemu" au "mtu ambaye angeleta baraka za Mungu na fadhila tena kwa Yerusalemu."