Hii huenda ni maana iliyokuzwa kwamba alitumia muda mwingi katika hekalu hii ilionekana kama kwamba hakuondoka pale. NI: "kila mara alikuwa hekaluni" au "daima alikuwa hekaluni."
# akifunga na kuomba
"kujinyima chakula na maombi"
# akawajia karibu yao
"kuwafuata" au "alikwenda kwa Mariamu na Yusufu"
# wokovu wa Yerusalemu
Hapa neno "wokovu" lilitumika kurejea kwa mtu ambaye angetenda. NI: yule ambaye angeokoa Yerusalemu" au "mtu ambaye angeleta baraka za Mungu na fadhila tena kwa Yerusalemu."