sw_tn/luk/02/21.md

20 lines
512 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla:
Sheria Mungu aliyowapa Wayahudi waamini aliwaambia lini mtoto mvulana atahiriwe na sadaka ipi wazazi walete.
# ilipokuwa mwishoni mwa siku ya nane
kauli hii inaonesha muda ukapita kabla ya tukio jipya.
# mwishoni mwa siku ya nane
"ilikuwa siku nane baadaya kuzaliwa kwake" au "alikuwa na umri wa siku nane"
# aliitwa
Yusufu na Mariamu walimwita jina lake.
# jina alilokwishakuwa amepewa na malaika
Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "jina ambalo malaika alimwita."