# Maelezo kwa ujumla: Sheria Mungu aliyowapa Wayahudi waamini aliwaambia lini mtoto mvulana atahiriwe na sadaka ipi wazazi walete. # ilipokuwa mwishoni mwa siku ya nane kauli hii inaonesha muda ukapita kabla ya tukio jipya. # mwishoni mwa siku ya nane "ilikuwa siku nane baadaya kuzaliwa kwake" au "alikuwa na umri wa siku nane" # aliitwa Yusufu na Mariamu walimwita jina lake. # jina alilokwishakuwa amepewa na malaika Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "jina ambalo malaika alimwita."