sw_tn/luk/02/21.md

512 B

Maelezo kwa ujumla:

Sheria Mungu aliyowapa Wayahudi waamini aliwaambia lini mtoto mvulana atahiriwe na sadaka ipi wazazi walete.

ilipokuwa mwishoni mwa siku ya nane

kauli hii inaonesha muda ukapita kabla ya tukio jipya.

mwishoni mwa siku ya nane

"ilikuwa siku nane baadaya kuzaliwa kwake" au "alikuwa na umri wa siku nane"

aliitwa

Yusufu na Mariamu walimwita jina lake.

jina alilokwishakuwa amepewa na malaika

Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "jina ambalo malaika alimwita."