sw_tn/luk/02/17.md

24 lines
742 B
Markdown

# ambacho kilikuwa kimesemwa kwao na wachungaji
Hii inaweza ikasemwa kwenye mtindo wa kutendea. NI: ""kile ambacho malaika waliwaambia wao wachungaji."
# mtoto huyu
"mtoto"
# kile ambacho kilizungumza kwao na wachungaji
Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "ambacho wachungaji waliwaambia."
# kuyatunza moyoni mwake
hazina ni kitu fulani ambacho ni cha thamani sana na kizuri. Mariamu alifikiri mambo aliyoambiwa kuhusu mtoto wake kuwa ni mazuri sana. NI: "kuyakumbuka kwa makini" au "kuyakumbuka kwa furaha."
# walirudi
"wakarudi mashambani kwenye kondoo"
# kumtukuza na kumsifu Mungu
haya yanafanana na yanasisitiza jinsi walivyochangamka kuhusu kile ambacho Mungu kafanya. NI: "sema juu ya kusifu ukuu wa Mungu."