sw_tn/luk/02/17.md

742 B

ambacho kilikuwa kimesemwa kwao na wachungaji

Hii inaweza ikasemwa kwenye mtindo wa kutendea. NI: ""kile ambacho malaika waliwaambia wao wachungaji."

mtoto huyu

"mtoto"

kile ambacho kilizungumza kwao na wachungaji

Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "ambacho wachungaji waliwaambia."

kuyatunza moyoni mwake

hazina ni kitu fulani ambacho ni cha thamani sana na kizuri. Mariamu alifikiri mambo aliyoambiwa kuhusu mtoto wake kuwa ni mazuri sana. NI: "kuyakumbuka kwa makini" au "kuyakumbuka kwa furaha."

walirudi

"wakarudi mashambani kwenye kondoo"

kumtukuza na kumsifu Mungu

haya yanafanana na yanasisitiza jinsi walivyochangamka kuhusu kile ambacho Mungu kafanya. NI: "sema juu ya kusifu ukuu wa Mungu."