# ambacho kilikuwa kimesemwa kwao na wachungaji Hii inaweza ikasemwa kwenye mtindo wa kutendea. NI: ""kile ambacho malaika waliwaambia wao wachungaji." # mtoto huyu "mtoto" # kile ambacho kilizungumza kwao na wachungaji Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "ambacho wachungaji waliwaambia." # kuyatunza moyoni mwake hazina ni kitu fulani ambacho ni cha thamani sana na kizuri. Mariamu alifikiri mambo aliyoambiwa kuhusu mtoto wake kuwa ni mazuri sana. NI: "kuyakumbuka kwa makini" au "kuyakumbuka kwa furaha." # walirudi "wakarudi mashambani kwenye kondoo" # kumtukuza na kumsifu Mungu haya yanafanana na yanasisitiza jinsi walivyochangamka kuhusu kile ambacho Mungu kafanya. NI: "sema juu ya kusifu ukuu wa Mungu."