sw_tn/luk/01/62.md

28 lines
654 B
Markdown

# Wao
Hii inarejea kwa watu ambao walikuwa pale kwaajili ya sherehe ya kutahiriwa.
# alifanya ishara
"alitaja." Pengine Zakaria alikuwa hawezi kusikia, vilevile kuzungumza, au watu walikisia kwamba hangeliweza kusikia.
# kwa baba yake
"kwa baba wa mtoto"
# jinsi alivyotaka awe anaitwa
"jina ambalo Zakaria alitaka kumpa mtoto"
# Baba yake aliomba ubao wa kuandikia
Inaweza ikasaidia kusema jinsi Zakaria "alivyoomba," Sababu hakuweza kuzungumza. NI: "Baba yake alitumia mikono kuwaonesha watu kwamba alihitaji wampe ubao wa kuandikia"
# ubao wa kuandikia
"kitu fulani unachoweza kuandika"
# alistaajabishwa
"shangaa sana" au "stajaabishwa"