# Wao Hii inarejea kwa watu ambao walikuwa pale kwaajili ya sherehe ya kutahiriwa. # alifanya ishara "alitaja." Pengine Zakaria alikuwa hawezi kusikia, vilevile kuzungumza, au watu walikisia kwamba hangeliweza kusikia. # kwa baba yake "kwa baba wa mtoto" # jinsi alivyotaka awe anaitwa "jina ambalo Zakaria alitaka kumpa mtoto" # Baba yake aliomba ubao wa kuandikia Inaweza ikasaidia kusema jinsi Zakaria "alivyoomba," Sababu hakuweza kuzungumza. NI: "Baba yake alitumia mikono kuwaonesha watu kwamba alihitaji wampe ubao wa kuandikia" # ubao wa kuandikia "kitu fulani unachoweza kuandika" # alistaajabishwa "shangaa sana" au "stajaabishwa"