sw_tn/luk/01/62.md

654 B

Wao

Hii inarejea kwa watu ambao walikuwa pale kwaajili ya sherehe ya kutahiriwa.

alifanya ishara

"alitaja." Pengine Zakaria alikuwa hawezi kusikia, vilevile kuzungumza, au watu walikisia kwamba hangeliweza kusikia.

kwa baba yake

"kwa baba wa mtoto"

jinsi alivyotaka awe anaitwa

"jina ambalo Zakaria alitaka kumpa mtoto"

Baba yake aliomba ubao wa kuandikia

Inaweza ikasaidia kusema jinsi Zakaria "alivyoomba," Sababu hakuweza kuzungumza. NI: "Baba yake alitumia mikono kuwaonesha watu kwamba alihitaji wampe ubao wa kuandikia"

ubao wa kuandikia

"kitu fulani unachoweza kuandika"

alistaajabishwa

"shangaa sana" au "stajaabishwa"