sw_tn/luk/01/14.md

768 B

Kwaajili

"Kwasababu" au "Katika nyongeza kwa hili"

shangwe na kufurahia

Haya maneno mawili yanamaanisha jambo lilelile na yangeliweza kuunganishwa kama lugha haina maneno yanayofanana. NI: "furaha sana."

kwa kuzaliwa kwake

"kwasababu ya kuzaliwa kwake"

atakuwa mkuu mbele ya macho ya Bwana

"atakuwa mtu mhimu sana kwaajili ya Bwana" au "Mungu atamstahilisha kuwa mtu mhimu sana" (UDB)

atajazwa na Roho Mtakatifu

Hii itatajwa kama kauli tendwa: NI: "Roho Mtakatifu atamwezesha" au "Roho Mtakatifu atamwongoza." Hakikisha haieleweki sawa na ambavyo roho mchafu anaweza kumfanya mtu.

toka tumboni mwa mamaye

watu tayari walishawahi kujazwa na Roho Mtakatifu, lakini hakuna hata mmoja aliyesikia mtoto ambaye hajazaliwa kajazwa na Roho Mtakatifu.