# Kwaajili "Kwasababu" au "Katika nyongeza kwa hili" # shangwe na kufurahia Haya maneno mawili yanamaanisha jambo lilelile na yangeliweza kuunganishwa kama lugha haina maneno yanayofanana. NI: "furaha sana." # kwa kuzaliwa kwake "kwasababu ya kuzaliwa kwake" # atakuwa mkuu mbele ya macho ya Bwana "atakuwa mtu mhimu sana kwaajili ya Bwana" au "Mungu atamstahilisha kuwa mtu mhimu sana" (UDB) # atajazwa na Roho Mtakatifu Hii itatajwa kama kauli tendwa: NI: "Roho Mtakatifu atamwezesha" au "Roho Mtakatifu atamwongoza." Hakikisha haieleweki sawa na ambavyo roho mchafu anaweza kumfanya mtu. # toka tumboni mwa mamaye watu tayari walishawahi kujazwa na Roho Mtakatifu, lakini hakuna hata mmoja aliyesikia mtoto ambaye hajazaliwa kajazwa na Roho Mtakatifu.