sw_tn/luk/01/14.md

24 lines
768 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwaajili
"Kwasababu" au "Katika nyongeza kwa hili"
# shangwe na kufurahia
Haya maneno mawili yanamaanisha jambo lilelile na yangeliweza kuunganishwa kama lugha haina maneno yanayofanana. NI: "furaha sana."
# kwa kuzaliwa kwake
"kwasababu ya kuzaliwa kwake"
# atakuwa mkuu mbele ya macho ya Bwana
"atakuwa mtu mhimu sana kwaajili ya Bwana" au "Mungu atamstahilisha kuwa mtu mhimu sana" (UDB)
# atajazwa na Roho Mtakatifu
Hii itatajwa kama kauli tendwa: NI: "Roho Mtakatifu atamwezesha" au "Roho Mtakatifu atamwongoza." Hakikisha haieleweki sawa na ambavyo roho mchafu anaweza kumfanya mtu.
# toka tumboni mwa mamaye
watu tayari walishawahi kujazwa na Roho Mtakatifu, lakini hakuna hata mmoja aliyesikia mtoto ambaye hajazaliwa kajazwa na Roho Mtakatifu.