sw_tn/lev/26/11.md

16 lines
467 B
Markdown

# Nitaliweka hema langu katikati yenu
"Nitaweka mahali pa makao yangu miongoni mwenu"
# Nami sitachukizwa nanyi
"Nitawakubali ninyi"
# Nitatembea miongoni mwenu
"Nami nitawakubali ninyi"
# Nimevunja makomeo ya nira yenu
Mungu anauzungumzia utumwa wao kana kwamba kulikuwa ni kuvaa nira ambayo huivaa wanyama ili kufanya kazi ngumu. Kuvunja makomeo ya nira huwakilisha kuwaweka wao huru. : "Nimewaweka huru kutoka katika kazi ngumu walizowalazimisha kuzifinya"