sw_tn/lev/26/11.md

467 B

Nitaliweka hema langu katikati yenu

"Nitaweka mahali pa makao yangu miongoni mwenu"

Nami sitachukizwa nanyi

"Nitawakubali ninyi"

Nitatembea miongoni mwenu

"Nami nitawakubali ninyi"

Nimevunja makomeo ya nira yenu

Mungu anauzungumzia utumwa wao kana kwamba kulikuwa ni kuvaa nira ambayo huivaa wanyama ili kufanya kazi ngumu. Kuvunja makomeo ya nira huwakilisha kuwaweka wao huru. : "Nimewaweka huru kutoka katika kazi ngumu walizowalazimisha kuzifinya"