# Nitaliweka hema langu katikati yenu "Nitaweka mahali pa makao yangu miongoni mwenu" # Nami sitachukizwa nanyi "Nitawakubali ninyi" # Nitatembea miongoni mwenu "Nami nitawakubali ninyi" # Nimevunja makomeo ya nira yenu Mungu anauzungumzia utumwa wao kana kwamba kulikuwa ni kuvaa nira ambayo huivaa wanyama ili kufanya kazi ngumu. Kuvunja makomeo ya nira huwakilisha kuwaweka wao huru. : "Nimewaweka huru kutoka katika kazi ngumu walizowalazimisha kuzifinya"