sw_tn/lev/22/04.md

1013 B

ungonjwa wa ngozi wa kuambukiza

ugonjwa ujuu ya ngozi unaosambaa kwa urahisi kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine

kutoka mwilini mwake

Tazama maellezo ya sura 15:1

mpaka atakapotakasika

Tama maelezo ya sura ya 13:23

yeyote agusaye kitu chochote kilichonajisi

Tazama maelzo ya sura ya 13:20"

wa njia ya kugusa maiti,

"kwa kugusa mwili wa mfu"

dhabihu iliyofanywa kwa Yahweh

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wautendaji. : "dhabihu ambayo mtu mwingine ameitoa kwa Yahweh"

au yeyote agusaye mnyama atambaaye atakayemtia yeye unajisi, au mtu yeyote atakayemfanya nyeye kuwa ajisi

Hii yaeza kfanywa wazi. : "au yeyote aliyenajisi kutokana na kugusa manyama ataambaye au kutokana na kugusa mtu aliyenajisi"

yeyote agusaye kitu chochote kisichosafi atakuwa najisi

Hii yaweza kufanywa wazi. : "au yeyote aliyenajisi kutokana na kugusa mnyama aliye mlemavu au kutokana na kugusa mtu aliye najisi"

hata jioni

"mpaka machweo"

kuhani ... atakuwa najisi

Tazama maezo ya sura ya 13:23